Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amekimbizwa hospitali leo Ijumaa kutokana na ugonjwa wa mapafu, na atalazimika kusitisha matukio kadhaa yaliyoratibiwa kwa siku tatu ...
Polisi nchini Kenya wamewatia mbaroni watu wanne wakiwamo raia wawili wa kigeni, wakiwatuhumu kutoa shahada za uzamili (master’s degree) na Shahada ya Uzamivu (PhD) ya heshima wakiwa hotelini... Hii ...
Akizungumza wakati wa ufunguzi huo Journey amesema kauli mbiu ya mwaka huu ni kupaza sauti kwa ajili ya amani duniani. Hiyo ikiwa ni kutokana machafuko ambayo yametokea ulimwenguni ...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amekimbizwa hospitali leo Ijumaa kutokana na ugonjwa wa mapafu, na ...
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewataka wanachama na wafuasi wa chama hicho kujipanga kudai mabadiliko ya mfumo wa ...
Familia ya kijana Elvis Pemba ambaye kifo chake kina utata, imedai kuna ofisa wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe amehusika ...
Zaidi ya wanafunzi 400 wa shule za sekondari mkoani Mwanza wameelimishwa kuhusu faida za uwekezaji kwenye masoko ya mitaji, kuwa ni pamoja na kujiwekea akiba kwa ajili ya matumizi ya baadaye.
Kichapo kutoka kwa Yanga kimeifanya KMC kubaki katika nafasi ya saba kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 21.
Kichapo kutoka kwa Yanga kimeifanya KMC kubaki katika nafasi ya saba kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 21.
Bunge limepitisha nyongeza ya mapato na matumizi ya jumla ya Sh945.7 bilioni kwa ajili ya nyongeza kwenye Bajeti ya Serikali ya mwaka 2024/25 kutoka Sh49.346 trilioni zilizoidhinishwa Juni ...
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Taiwan na kutolewa Septemba 2022, ulibaini kwamba miguu ya kuku ni chanzo kizuri cha ...
Mkutano wa G20 wa Afrika Kusini ulitarajiwa kuwa fursa kwa mataifa tajiri, yenye nguvu kutilia maanani masuala ya nchi ...