News

Mwezi Julai ulianza huku hali joto ikiongezeka kote nchini Japani. Kiwango cha juu cha halijoto wakati wa mchana kinaweza kuzidi nyuzi 35 za Selisiasi katika miji mingi.
Wataalamu wa Kongo na Rwanda ambao wamekutana mjini Washington siku ya Jumatano, Juni 18, 2025, wamesaini hati ya maandalizi ya makubaliano ya amani chini ya mwamvuli wa Marekani. Hatua hii muhimu ...
Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu iliyopo Arusha Tanzania imesema inayo mamlaka ya kisheria ya kusikiliza shauri lililofunguliwa na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo dhidi ya Rwanda.
Michuano ya Euro 2024 imeendelea usiku wa Jumatatu kwa michezo miwili mikubwa ya kundi B- Uhispania ambayo ilikuwa timu ya pili kufuzu kwenye hatua ya 16 bora wamecheza na Albania huku Croatia ...
Libya pia inapitia kipindi cha mpito lakini kinakumbwa na visa vya umwagikaji wa damu. Siku ya Jumatano wapiganaji watiifu kwa serikali ya umoja wa kitaifa walikabiliana vikali na mahasimu wao.
Siku nne mfululizo za wageni na wenyeji wanajumuika kuangalia na kuburudika kwa ala na sauti maridhawa za wanamuziki katika jukwaa la Ngome Kongwe.
The purpose of the day is to recognize the positive influence that sport can have on the advancement of human rights, and social and economic development.
The United Nations recognizes the need to counter discrimination, xenophobia and hate speech. Hate speech incites violence and undermines social cohesion and tolerance. Therefore, 18 June was ...
Karibu katika Makala yetu ya Leo Jumapili ambayo ni maalum kabisa kuhusu historia ya siku ya Muziki dunia ambayo huadhumishwa kila ifikapo Juni 21. Uko nami Ali Bilali mtangazaji wqko asiependa ...