Ikiwa na harufu nzuri, bia baridi ni kinywaji kinachogusa hisia zetu zote. Lakini jinsi hali ya hewa inavyobadilika, ndivyo pia ladha ya mojawapo ya vinywaji maarufu zaidi duniani inavyopungua.
Safaa ana ndoto ya kuwa daktari wa upasuaji wa moyo. "Bado nina matumaini," anasema, lakini ana kumbukumbu za kutisha za vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Sudan. "Miili ilitawanyika kila mahali ...
Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), lililokutana leo baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa chama hicho, limemthibitisha John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa chama. Jana, CHADEMA ...