News
‎Katika uamuzi wake alioutoa leo Jumatatu, Julai 28, 2025 Jaji Mwanga amezikataa sababu zote zilizotolewa na walalamikiwa ...
Katika migahawa iliyoendelea, kisinia ni sehemu ya orodha ya vyakula vinavyouzwa, ambavyo ndani yake huwa na kitoweo, wali, ...
Unaambiwa Kelly Rowland akiwa bado msichana akifanya kazi na kundi la Destiny’s Child tangu miaka ya 1990, tayari alikuwa ...
Ikilinganishwa na 2024, ongezeko la watalii wanaoingia nchini lilikua kwa asilimia nne sawa na wastani wa watalii 28,000.
Sowah alisaini Simba SC jioni ya Jumanne ya Julai 22, mwaka huu na kumfanya awe sehemu ya kikosi cha Simba cha msimu ujao.
Michuano hiyo ambayo ni toleo la nane tangu kuanza kwake mwaka 2009, inashirikisha timu 19 zilizopangwa kwenye makundi manne.
Kuna makundi manne katika Fainali za Ubingwa kwa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024, michuano inayotarajiwa kuanza Agosti 2 mwaka ...
Waigizaji wengi wana stori zao tofauti juu ya kule walikotokea. Li Lianjie ambaye jina lake maarufu ni Jet Li ni miongoni mwa ...
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Brighton, Swansea na Coventry amepewa jezi namba 14 ambayo iliwahi kuvaliwa na gwiji Thierry ...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiliandika barua ya kumtaka Jaji Mwanga anayesikiliza kesi ya mgogoro wa mgawanyo ...
Rais Biya mwenye umri wa miaka 92, yeye atagombea tena mwaka huu ikiwa ni muhula wa nane wa uongozi katika nchi hiyo. Biya ...
Mchakato wa mchujo wa majina ya watiania ya ubunge, uwakilishi na udiwani ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), umefikia hatua ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results