News

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiliandika barua ya kumtaka Jaji Mwanga anayesikiliza kesi ya mgogoro wa mgawanyo ...
Rais Biya mwenye umri wa miaka 92, yeye atagombea tena mwaka huu ikiwa ni muhula wa nane wa uongozi katika nchi hiyo. Biya ...
Mchakato wa mchujo wa majina ya watiania ya ubunge, uwakilishi na udiwani ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), umefikia hatua ...
Mchakato wa mchujo wa majina ya watiania ya ubunge, uwakilishi na udiwani ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), umefikia hatua ya watiania hao kuamua kusuka au kunyoa, zikiwa zimesalia saa ...
Timu ya Taifa ya Wanawake ya England imeendelea kuonyesha ubabe wake Ulaya baada ya kubeba taji la mashindano ya Ulaya kwa ...
Nyota wa zamani wa Manchester United, Marcus Rashford, ameanza maisha mapya nchini Hispania baada ya kuichezea Barcelona kwa ...
Mteremko wa Nzovwe jijini Mbeya umeendelea kugharimu maisha ya watu baada ya leo Jumapili, Julai 27, 2025 kuua mmoja na ...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimepokea wanachama wapya 250 kutoka Jimbo la Kinondoni leo Jumapili, Julai 27, 2025 ...
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) itawakutanisha wadau wa elimu katika maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwake, ...
Vilio na simanzi vimetawala katika Shule ya Sekondari Chalangwa, wilayani Chunya mkoani Mbeya, wakati wa kuagwa kwa miili ya ...
Watu kadhaa ambao bado idadi yao haijajulikana wanahofiwa kufariki dunia katika ajali maeneo ya mteremko wa Nzovwe hadi kwenye daraja la Iyunga kunakoendelea ujenzi wa barabara ya njia ...