Benki hiyo pia imeshangazwa na uwapo wa taarifa katika mitandao ya kijamii zinazohusisha alama za wanyama kama vile kobe na nyoka katika utoaji wa mikopo na kwamba jambo hilo ni kinyume cha sheria na ...
FELISTER Hassan, mama mzazi wa Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema amefurahishwa na ushindi wa mwanawe aliopata juzi, akitarajia kuona mabadiliko ...