Nchi tisa kutoka Bara la Afrika zinatarajiwa kuja na sera ya pamoja ya kikanda ambayo inalenga kusimamia usalama wa ...
MAJINA ya wafanyabiashara 1,520 watakaorejea katika Soko Kuu la Kariakoo, jijini Dar es Salaam yametajwa na kutakiwa kwenda ...
Hatua hii inakuja baada ya kukamilika kwa ukarabati na ujenzi wa ghorofa ulioanza baada ya soko kuungua Julai 10, 2021, ...
MCHEZO wa Kariakoo Dabi ambao Yanga itaikaribisha Simba umepangwa kuchezwa Machi 8, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ikiwa ni mwendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Hiyo inafuatia ...
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh bilioni 71.5 sawa na asilimia 104 katika kipindi cha miezi sita cha mwaka mpya wa fedha 2024/25 kutoka eneo la kimkakati la Mkoa Maalumu ...
Afisa huyo alizungumza na BBC huku vyombo vya habari vya Israel vikiripoti kuwa Hamas wamewasilisha matakwa ya dakika za mwisho katika makubaliano ya kusitisha mapigano - muda mfupi kabla ya Qatar ...
Aidha, ametoa wito kwa madereva na wamiliki wa vyombo vya moto kuhakikisha magari yao yanakuwa katika hali nzuri ya kiufundi ili kuepusha ajali za namna hiyo.