Akizindua ofisi ya CCM Kata ya Nyakonga wilayani Tarime leo Jumapili Februari 9, 2025, Wasira amesema baadhi ya vijana wilayani humo wanatumika vibaya kwaajili ya kufanikisha malengo ya baadhi ya ...
Tarime. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amewataka vijana wilayani Tarime Mkoa wa Mara kuacha kutumika kisiasa kwa lengo la kusababisha fujo na machafuko ndani ya ...