Vitenzi vya umbo la TA ni aina ya vitenzi vilivyonyambuliwa ambavyo vinaishia na TA au DA. Ni vya wakati uliopita au wakati timilifu. Hebu nikuelezee vile unavyoweza kubadilisha vitenzi vya umbo ...
Ukitaka kubadilisha vitenzi kuwa nomino, unaongeza NO au KOTO kwenye kitenzi cha muundo wa kawaida, kama vile umbo la kikamusi au umbo la TA. Acha nikuelezee hili kwa kutumia usemi wa msingi kwa ...