KUPOROMOKA kwa jengo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam kumeibua 'madudu' mengi yaliyokuwa yamefichika, ukiwamo udanganyifu ...
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga, amethibitisha kuwa bado kuna watu wamekwama chini ya vifusi vya jengo lililoporomoka Kariakoo, mawasiliano na watu hao yanaendelea ...
Wakati Soko la Kimataifa la Kariakoo jijini Dar es Salaam likitarajia kuanza tena kutoa huduma, Rais Samia Suluhu Hassan amesema moto ulioliteketeza, ulikuwa ni kupoteza ushahidi kutokana ...
Rais Samia ameeleza kuwa ni wazi kuwa jengo lililoporomoka halikujengwa kwa viwango stahiki na ameahidi kuwa uchunguzi utaangazi ubora wa majengo yote ya Kariakoo. “…Tukio hili ukiangalia kwa ...
MAJINA ya wafanyabiashara 1,520 watakaorejea katika Soko Kuu la Kariakoo, jijini Dar es Salaam yametajwa na kutakiwa kwenda kujisajili kuanzia kesho hadi Ijumaa Februari 7, mwaka huu. Kaimu Meneja Mku ...
Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi Januari 30, 2025 amekula chakula cha mchana pamoja na walioshiriki uokoaji katika jengo ...