Idadi ya wanyama pori imepungua kwa zaidi ya thuluthi mbili katika kipindi kisichopungua miaka 50 , kujlingana na ripoti muhimu ya kundi la uhifadhi wa wanyama pori WWF. Ripoti hiyo inasema kwamba ...
Alisema kwamba wanyama huogopa binadamu na kwamba hawawakaribii. "Katika mbuga kama ya Kruger wanyama hawatangamana na watalii na wafanyikazi haliambayo huenda wanyama kama chui kuwazoea watu na ...