Kama ukifuatilia vitabu vingi vya watoto, kwa kiasi kikubwa wahusika wakuu wa hadithi nyingi si binadamu bali ni ya wanyama. Kuanzia wadudu wanaotambaa mpaka wanyama wakubwa wa baharini kama vile ...
Idadi ya wanyama pori imepungua kwa zaidi ya thuluthi mbili katika kipindi kisichopungua miaka 50 , kujlingana na ripoti muhimu ya kundi la uhifadhi wa wanyama pori WWF. Ripoti hiyo inasema kwamba ...